The House of Favourite Newspapers

MKE MTEMI (PART ONE): HUYU MWANAMKE BALAA! – VIDEO

Katika jamii yetu ya Tanzania tulizoea kuona na kusikia jinsi wanaume wanavyowanyanyasa wake zao kila kukicha, jambo ambalo limekuwa kama mazoea katika jamii yetu.

 

MKE MTEMI ni tamthilia ya vichekesho makini (Serious Comedy) yenye mtazamo tofauti katika jamii yenyewe, hasa imejikita katika kufichua na kuonesha changamoto wanazokutana nazo wanaume katika ndoa zao,kitu ambacho si rahisi kwa mwanaume kusema kuwa anateswa na kunyanyaswa na mkewe katika jamii.

 

Ndani ya MKE MTEMI kuna binti mmoja anaitwa SHENAIZA, amebahatika kuolewa na kijana mmoja hapo kijijini, maisha yao ya ndoa yamekuwa maisha ya paka na panya.

ENDELEA NA UHONDO

Comments are closed.