The House of Favourite Newspapers

Mkude Akana Kumfundisha Matusi Morrison

0

Baada mchezaji wa Simba Sc, Bernard Morrison kudai kuwa mchezaji mwenzake Jonas Mkude ndiye amekua akimfundisha Lugha ya Kiswahili chenye matusi, hatimae Mkude amekanusha hilo.

Mkude amekanusha hilo kupitia show ya #LaviDavi ya Wasafi Fm, akijibu moja ya maswali ya mtangazaji @divatheebawse alietaka kujua kama ni kweli au la! Jambo ambalo Mkude amekanusha na kudai Morrison ni mtu mcheshi na alizungumza suala hilo katika hali ya ucheshi tu.

Leave A Reply