The House of Favourite Newspapers

MKURUGENZI WA GLOBAL MARSHA APATA PIGO!

Eric Shigongo (kushoto) akitete jambo na Shemeji yake Samson kabla ya  kumpumzisha mpendwa wao Jofrey Lameck katika makaburi ya Sinza jijini Dar es Salaam.

 

Mkurugenzi Mtendaji wa Global Group, Eric Shigongo, mdogo wake Marsha pamoja na mkewe Marsha aitwaye Alice ambaye ni mdogo wa marehemu.
Enzi za uhai wake marehemu Jofrey Lameck.

 

 

Mkurugenzi wa Kampuni ya Global Publishers, Marsha Bukumbi amepata pig0 ya kuondokewa na shemeji yake kipenzi aitwaye Jofrey Lameck aliyefariki dunia Mei 5,2019 na kuzikwa leo Mei 07,2019.

 

Marehemu Lameck alikuwa ni kaka wa mke wa Mkurugenzi wa Global Publishers na  alifariki dunia Mei 05, mwaka huu nyumbani kwao Kimara jijini Dar es Salaam na amezikwa leo katika makaburi ya Sinza jijini Dar es Salaam ambapo ndugu, jamaa na marafiki wamefika kutoa heshma zao za mwisho.

 

Comments are closed.