The House of Favourite Newspapers

WABUNGE WASAJILI LAINI ZA AIRTEL KWA MFUMO WA ALAMA ZA VIDOLE

Mbunge wa Viti Maalum, Sonia Magogo akiwa katika meza ya usajili wa laini za simu za Airtel kwa kutumia alama za vidole, katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma jana. 
Mbunge wa Viti Maalum, Anna Gidaria akiwa katika meza ya usajili wa laini za simu za Airtel kwa kutumia alama za vidole, katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma jana.
Wabunge wakiwa katika meza ya usajili wa laini za simu za Airtel kwa kutumia alama za vidole, katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma jana.

Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai akiwa kwenye banda la Kampuni ya simu ya Airtel lililopo katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma kwaajili ya kusajili laini kwa alama za vidole.
Mbunge wa Mikumi, Joseoh Haule (kulia) na Mbunge wa Musoma Vijijini, Prof. Sospeter Muhongo wakiwa katika meza ya usajili wa laini za simu za Airtel kwa kutumia alama za vidole, katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma jana.
Wabunge wakiwa katika meza ya usajili wa laini za simu za Airtel kwa kutumia alama za vidole, katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma jana.

Comments are closed.