The House of Favourite Newspapers

Mkurugenzi wa NBC Afanya Ziara ya Kikazi Kanda ya Ziwa

0
Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Brigedia Jenerali Marco Gaguti (wa tatu kushoto), akishikana mikono na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Theobald Sabi, wakati yeye na ujumbe wake walipomtembelea ofisini kwake katika ziara yao mkoani Kagera hivi karibuni.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Theobald Sabi (kulia), akizungumza na wafanyakazi wa benki hiyo wa Tawi la Mwanza, wakati wa ziara yake mkoani humo hivi karibuni.
Meneja wa Benki ya NBC Kanda ya Ziwa, Japhet Mazumira (kulia), akizungumza na wafanyakazi wa benki hiyo wa Tawi la Mwanza wakati wa ziara ya Mkurugenzi Mtendaji wa NBC, Theobald Sabi mkoani humo hivi karibuni.  
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Theobald Sabi (katikati), akipozi kwa picha na wafanyakazi wa benki hiyo wa tawi la Mwanza  wakati mkurugenzi huyo pamoja na ujumbe wake wakiwa katika ziara ya kikazi mkoani humo hivi karibuni.
…Theobald Sabi (katikati), akipozi kwa picha na wafanyakazi wa benki hiyo wa tawi la Musoma wakati mkurugenzi huyo pamoja na ujumbe wake wakiwa katika ziara ya kikazi Mkoani Mara hivi karibuni.

 

Leave A Reply