The House of Favourite Newspapers

Mmiliki wa Villa Park Makambako Alivyopata Ajali na Kufarikia Akiwa na Mpenzi Wake

 

Mmiliki wa kiota cha Villa Park cha mjini Makambako, jijini Mbeya, Kizito, amepoteza maisha kwenye ajali mbaya ya gari iliyotokea juzi Jumapili usiku.

Kizito enzi za uhai wake akiwa amesimama pembeni ya gari yake Toyota Harrier iliyopata ajali

Ajali hiyo inadaiwa kutokea Morogoro. Inasemekana alikuwa na mpenzi wake ambaye kutokana na mwili wake kusagika vibaya alishindwa kufahamika mara moja.

Kizito alikuwa akitoka kwenye mechi ya mpira kati ya Njombe na Kurugenzi na ajali ilitokea saa nane usiku.

Comments are closed.