The House of Favourite Newspapers

Mo Dewji Asitisha Kununua Ferrari na Rolls-Royce

0

BAADA ya kipigo kizito dhidi ya Kaizer Chiefs, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC, Mohammed Dewji leo Mei 16, 2021 aamua kuwekeza fedha zaidi katika kuitengeneza Simba iweze kushindana zaidi.

“Nilipanga kujizawadia Ferrari na Rolls-Royce, sina budi kuweka mpango huu kapuni kwa sasa na kuelekeza fedha zaidi katika klabu yetu ya @SimbaSCTanzania Furaha ya @SimbaSCTanzania ni muhimu kuliko starehe yangu. Simba kwanza!”-  Mo Dewji
Leave A Reply