The House of Favourite Newspapers

Morrison Atwaa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi Juni

0

KIUNGO Mshambuliaji wa Simba raia wa Ghana, Bernard Morrison, amekabidhiwa kitita cha shilingi Ml 1, kutoka kampuni ya Emirates Alluminium baada ya kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa Mwezi Juni, kutoka Simba, huku akiwagaragaza, Luis Miquissone na Nahodha wake John Bocco, ambapo walikuwa wakiwania tuzo hiyo pamoja.

 

Tuzo hiyo imekuwa ikitolewa na Kampuni ya Emirates Alluminum kila mwezi, huku mchakato wa kumpata mshindi huendeshwa na Simba kupitia kura za mashabiki wa klabu hiyo.

Afisa Habari wa Emirates Alluminium, Issa Maeda (kushoto), akikabidhi mfano wa hundi kwa Morrison.

 

Leave A Reply