The House of Favourite Newspapers

MPENZI WANGU SARAFINA-11

0

Sarafina aliendelea kusimama pale alipokuwa, hakuamini kama mwanaume aliyempa mimba, David ndiye alikuwa ndani ya gari lile, aliumia mno, akalia sana, akanyeshewa na mvua na hakutaka tena kuomba kwa siku hiyo, akaondoka kuelekea pembeni ya jengo moja kubwa, chini ya mti kisha kukaa na kuanza kulia.

Picha aliyoiona ilimuumiza mno, hakuamini kama kweli yeye ndiye aliyekuwa akipitia maisha yale huku mwanaume ambaye alisababisha kuwa hivyo hakuwa na habari naye na inawezekana hakuwa akifikiria kama alikuwa hai hapo kabla.

Alilowa hivyo hata machozi yaliyokuwa yakitiririka mashavuni mwake hayakuonekana. Alimkumbatia Malaika, alimuonea huruma, alikuwa mtoto mdogo ambaye hakutakiwa kabisa kupitia katika maisha aliyokuwa akipitia.

Ni kama Malaika hakuwa na baba kwani kila kitu alichokuwa akikifanya, alikifanya peke yake, yeye ndiye aliyekuwa kila kitu katika maisha ya mtoto huyo ambaye kwa kumwangalia tu ilikuwa ni rahisi kusema kwamba alikuwa akiumwa utapiamlo.

“Malaika mtoto wangu! Umemuona baba yako alivyoondoka? Hakujali, hataki kusikia chochote kuhusu wewe. Unapata tabu, angalia unavyonyeshewa na mvua, angalia jinsi mama yako ninavyoumwa kansa. Najua una njaa ila siwezi kukunyonyesha kutokana na ugonjwa ninaoumwa, jitahidi kunywa uji, ukishindwa hata juisi nitakununulia,” alisema Sarafina huku akimwangalia mtoto wake, ni kama alikuwa akisikia, naye alikuwa kimya akimwangalia mama yake.

“Mama yako ninateseka. Nilipanga mtoto wangu wa kwanza akasome shule za gharama, awe na kila kitu na baadaye aje kuwa rais wa nchi hii lakini kitu cha ajabu kabisa, nimekuwa ombaomba, hakuna shule tena, hakuna urais tena. Malaika, si mimi, katika maisha yako usinilaumu, ninafanya kila kitu kama mama, nipo tayari hata kufa ili uendelee kuishi, sitokuacha, utakapolia, nitalia, utakapohuzunika, nitahuzunika, utakapokufa, na mimi sitoona umuhimu wa kuishi,” alisema sarafina huku mvua kubwa ikiendelea kunyesha.

Maisha hayakubadilika, kila siku aliendelea kupata tabu zaidi na zaidi. Malaika akafikisha umri wa mwaka mmoja, hakuwa na afya njema lakini kila siku sarafina alipambana kwa ajili ya mtoto wake huyo.

Alikuwa na miaka ishirini na nne lakini muonekano wake ilikuwa ni rahisi kujua kwamba alikuwa na miaka arobaini na tatu, alizeeka, maziwa yake yalilala na kuisha kabisa, alikonda kiasi kwamba wengi wakahisi kuwa mwanamke huyo alikuwa akiumwa kifua kikuu.

Kutokana na kuzunguka kila kona jijini Dar es Salaam, Sarafina akalijua jiji, alijua mitaa yote, alijua sehemu ambazo zilikuwa na watu wenye pesa nyingi, kidogo na hata wale ambao hawakuwa na pesa za kutosha.

Kulala kwake kuliendelea kuwa kwa tabu sana, hakujali, hakutaka kuona akifa na kumuacha mtoto wake akiwa mdogo namna ile. Siku zilikatika na kukatika, alipigia kwa kiasi kikubwa na Malaika alipofikisha umri wa miaka mitano ndipo matatizo yakaanza kuonekana kwa Sarafina.

Kansa ya maziwa aliyokuwa akiumwa ikaanza kumletea madhara, akakonda zaidi, akawa mtu wa kukohoa kila wakati, maziwa yake yakaanza kutoa vidonda na alipokuwa akijaribu kuyakamua, yalitoa damu.

Alilia sana, usiku hakulala, alikuwa kwenye maumivu makali mno. Mtoto wake, Sarafina ndiye aliyekuwa akizunguka mitaani, ndiye aliyekuwa akimsaidia mama yake kuomba pesa kwa watu waliokuwa nazo.

Hakuwahi kujua elimu, hakuwahi kujua kama kulikuwa na maisha mazuri, alikulia mitaani na maisha yake yalikuwa mitaani tu. Wakati mwingine alipokuwa akienda kuomba mitaani na kupata pesa, watoto wenzake walimpiga na kumpokonya, wakati mwingine walimtishia kumuua kama tu asingewapa pesa walizokuwa wakizihitaji.

Alikua, aliutambua umuhimu wa mama yake, kwake, mwanamke huyo alikuwa kila kitu, ndiye aliyemlea, alijua kwamba alikuwa masikini, mama yake hakujiweza kutokana na kuumwa sana hivyo hata mitaani alipokuwa, aliomba pesa kwa nguvu huku picha ya mama yake akiwa mgonjwa, amelala chini ikimjia.

“Mama yangu anaumwa!” alisema Malaika.

“Anaumwa nini?”
“Anatoka damu kwenye maziwa na ametoka vidonda. Naomba unisaidie hela ya kula, nataka nikamlishe mama!” alisema Malaika, alikuwa katika kioo cha mlango wa gari, alikuwa akiongea na mwanaume aliyekuwa ndani ya gari hilo.

Walimuonea huruma, aliongea huku machozi yalimtoka. Hakutaka pesa kwa ajili ya kutumia yeye mwenyewe, alihitaji pesa kwa ajili ya kumnunulia mama yake ambaye hakuwa akijiweza, alipokuwa akilala, hakuwa akiamka mpaka usiku.

Aliendelea kukusanya pesa na alipofika mahali ambapo mama yake alipokuwepo, alimpikia chakula kwenye vyombo vichafu na kuanza kula.

Malaika alikuwa mtoto mrembo, alichukua uzuri wa mama yake lakini ilikuwa ni vigumu kuuona uzuri wake kutokana na maisha magumu, yenye dhiki aliyokuwa akiyapitia na mama yake.

Alilia, kila alipokuwa akimwangalia, alijua kabisa kwamba alikuwa akienda kufa kitu kilichokuwa kikimletea majonzi makubwa moyoni mwake. Hakuacha kumuuliza kuhusu baba yake, kila siku alimuuliza lakini mama yake hakujibu zaidi ya kulia.

“Yupo wapi?” aliuliza Malaika.

“Alikufa!”

“Alikufa?”
“Ndiyo!”

Alitamani kumuona baba yake, alipoambiwa kwamba alikufa, moyo wake ulimuuma sana. Alilia kila siku, kila alipokuwa akimwangalia mama yake, alimuona akiwa mpweke na kitu ambacho alikiona ni kuwa alikuwa na mawazo ya kumfikiria marehemu baba yake.

Alitamani kusoma lakini hakujua angeanzia wapi. Hakujua kusoma wala kuandika, kitu pekee alichokijua maishani mwake ni kuamka asubuhi, kwenda barabarani kuomba na mchana kurudi nyumbani.

Hali ya Sarafina iliendelea kuwa mbaya, kila siku kwake yalikuwa mateso makubwa, alilia kwa maumivu makali na wakati mwingine alimuomba Mungu afe tu kwani kama kumlea Sarafina, alikuwa amekua kidogo kiasi kwamba angeweza kuyaendesha maisha yake kwa kuombaomba mitaani kama alivyokuwa akifanya.

Mitaani huko hakukuwa salama, kila mtu alimtamani Sarafina, alikuwa msichana mdogo mno, ila alipofikisha miaka sita na kifua chake kuanza kujaa, wanaume wakatokea kumtamani na kila mmoja akataka yeye awe wa kwanza.

“Ila kanavutia haka katoto!” alisema jamaa mmoja, alikuwa muuza mitumba wa Keko.

“Kweli kabisa. Kile kifua ukikipata, unakishikilia vilivyo! Ngoja tutumie hela tumpate, tukianza naye mdogomdogo, mwisho wa siku tunamvuta magetoni na tunapiga wote wawili! Au unaogopa?” aliuliza jamaa huyo.

“Wala siogopi. Ila mimi niwe wa kwanza!”
“Haina noma.”

Malaika hakujua kama wanaume walikuwa wakimvizia, kila siku aliamini kwamba watu wote walikuwa wakiwaonea huruma watu wa mitaani, hakujua kama kulikuwa na wanaume wengine walikuwa wakimtamani kwa sababu tu kifua chake kilianza kujaa.

Wanaume hao wakajifanya kama marafiki zake, kila siku alipokuwa akienda maeneo ya Keko kuomba pesa, walimgawia kiasi kikubwa kwake cha shilingi elfu mbili pasipo kujua kama wanaume hao walikuwa na malengo yao vichwani.

Alifurahia, alimwambia mama yake bahati aliyokuwa akiipata kila siku. Sarafina alikuwa na machale, alijua kabisa kwamba hao hawakuwa watu wazuri, alimzuia Malaika kwenda huko lakini hakusikia, hakuwa tayari kuziacha pesa hizo.

“Mungu naomba umlinde mtoto wangu. Ningekuwa na nguvu ningekwenda hukohuko. Ninashindwa hata kutembea, ninaoza huku nikijiona, Mungu! Naomba umlinde mtoto wangu,” alisema Sarafina huku akiwa amelala.

Maziwa yake yalioza kabisa, yalikuwa yakitoa harufu mbaya, kansa ilimtafuna kwa kiasi kikubwa, aliteseka mno na kila siku alimuomba Mungu amuue lakini kifo hakikumsogelea hata kidogo.

****

Ilikuwa ni hatari kwa Malaika lakini hakutaka kuacha, akatokea kuwazoea wanaume ambao kila siku alipokuwa akienda walimpa shilingi elfu mbili kiasi ambacho kwake kilionekana kuwa kikubwa mno.

Binti huyo mdogo alipokuwa akifika kijiweni kwao, walikuwa wakizungumza naye, walijenga mazoea lakini vichwa vyao vilikuwa vikifikiria kumbaka tu kwani pamoja na uzuri wake, kifua chake kiliwatamanisha mno na kuona kwamba kumuacha lilikuwa kosa la jinai.

“Leo umependeza,” alisema jamaa mmoja huku akimwangalia Malaika aliyekuwa akitabasamu.

“Ahsante!”

“Baadaye njoo uchukue hela nyingine, umesikia mtoto mzuri?” alisema jamaa huyo.

“Sawa. Nitakuja kaka!”

Kwake, hakuona kama watu hao walikuwa watu wabaya, jinsi walivyokuwa wakitabasamu kila alipokuwa akizungumza nao ilimuhakikishia kwamba walikuwa watu wazuri waliokuwa na lengo la kumsaidia.

Ilipofika saa kumi na moja jioni, Malaika akarudi mahali hapo ambapo jamaa mmoja akampigia simu mwenzake na kumwambia kwamba yule binti mrembo mwenye maziwa ya saa sita alifika kijiweni hivyo angekwenda naye magetoni kama walivyokubaliana.

“Tena muwahishe, nakusubiri na taulo hapa,” alisema jamaa huyo wa upande wa pili.

Kwa Malaika hakukuwa na tatizo lolote lile, hata alipoambiwa amfuate mwanaume yule wala hakugoma, aliwazoea, walikuwa wakimsaidia sana, kwake, walikuwa msaada mkubwa ambapo kila siku alipokuwa akitoka nyumbani, kitu cha kwanza kabisa kilikuwa ni kukumbuka kwamba kulikuwa na elfu mbili sehemu.

Hakukuwa mbali sana, wakafika nje ya nyumba hiyo. Jamaa alipomwambia Malaika waingie ndani, kwanza akagoma, akahisi kulikuwa na jambo baya. Alimwambia jamaa huyo lakini kutokana na maneno yake mengi ya ushawishi, Malaika akaingia ndani, katika chumba ambacho hakikuwa na kiti zaidi ya kitanda.

“Njoo ukae hapa!” alisema jamaa huku akimvuta Malaika kutoka chini alipokaa.

Alikuwa na uchu, kila alipomwangalia mtoto Malaika mwili wake ulisisimka. Kifua cha Malaika kilimchanganya, mawazo yake yalikuwa mbali kabisa, alijifikiria akiwa na msichana huyo kitandani huku wakila tunda.

Akamvuta Malaika mpaka kitandani, akaanza kumshika huku na kule. Msichana huyo mdogo alikuwa akitetemeka, aliogopa, hakutegemea kukutana na mambo kama hayo ndani ya chumba hicho.

Huku akiwa hajui afanye nini, jamaa huyo akatoa elfu mbili nyingine, kutokana na umasikini mkubwa, kiasi hicho kilionekana kuwa kikubwa kwake, hivyo akakichukua, akalazwa kitandani, japokuwa alikuwa akiogopa lakini akakubali kulala.

Jamaa huyo hakutaka kuchelewa, kwa haraka sana akaanza kumvua nguo Malaika, kifua kile kilichokuwa kikionekana ndani ya nguo, kikawa nje kabisa, jamaa akakiparamia kisha kumvua nguo yake ya chini.

Malaika alikuwa akilia tu, muda mwingi alikuwa akijitahidi kumtoa mwanaume huyo kifuani kwake lakini hakutoka, aling’ang’ania kama ruba. Kwa kasi kubwa akaanza kuivua nguo yake ya ndani, dakika moja tu, Malaika akawa mtupu kabisa na hivyo jamaa kuanza kumuingilia.

Malaika akaanza kulia kwa maumivu makali chini ya kitovu, sauti yake haikutoka kwa kuwa alizibwa mdomo. Alilia mno, alihangaika kujitoa mikononi mwa mwanaume huyo lakini akashindwa kabisa.

Mshipa ukakatika, damu zikaanza kutoka chini ya kitovu. Alisikia maumivu makali mno, zaidi ya maumivu ya kuchomwa na kitu cha moto. Jamaa hakujali machozi ya Malaika, hakujali kama alikuwa binti mdogo, alichokuwa akikijali ni kupiga pushapu, kwenda juu na kurudi chini.

“Subiri! Subiri kwanza! Tulia hivyohivyo,” alisema jamaa huku akiendelea kumbaka Malaika.

Wakati akiendelea, mlango ukafunguliwa na mwanaume mwingine kuingia huku akiwa na taulo, alipomuona mwenzake akiwa juu ya kifua cha Malaika, naye akafua taulo lake na kukaa pembeni, kazi ya kumziba mdomo Malaika ikawa yake.

“Fanya fastafasta!” alisema jamaa huyo.

Mwenzake alichukua dakika tano mpaka kumaliza, alipotoka tu, akaingia yeye na kuanza kumbaka Malaika. Yalikuwa ni mateso, maumivu makali lakini wote hawakujali. Jamaa huyo alichukua dakika kumi, Malaika akawa hoi, akawa anashindwa hata kukisogeza kiungo chochote cha mwili wake.

Chini kulichakaa, kulitoka damu mpaka kukauka, majimaji yalitoka mpaka kukauka, kulibadilika rangi na kuwa pekundu kabisa, paliuma, Malaika akahisi kama kulikuwa na mtu alichukua mkaa wa moto na kumuingizia sehemu za siri.

“Nakufa! Nakufaaaa…” alisema Malaika kwa maumivu makali.

Wanaume wale walitulia pembeni, walimwangalia msichana huyo, walipoona kwamba ametulia, wakaanza kumuingia kwa mara ya pili. Siku hiyo ilikuwa ni kama hukumu ya Malaika maishani mwake, maumivu ambayo aliyasikia alishindwa kusimulia.

Walichukua zaidi ya dakika arobaini na tano ndipo walipotulia huku tayari ikiwa ni saa moja kasoro usiku. Walipumzika na ilipofika maira ya saa mbili usiku, wakamtoa, Malaika akatoka chumbani mule, hata kutembea vizuri hakuweza, alikuwa akichuchumia kama mtu aliyechomwa na mwiba unyayoni.

Alikuwa akilia, moyo wake ulijuta kuingia ndani ya chumba kile. Bado chini kulikuwa na maumivu makali, hakujua ni kwa namna gani angemwambia mama yake kile kilichokuwa kimetokea.

Alitembea kwa mwendo wa taratibu, maumivu yalipokuwa yakipungua, alikuwa akijitahidi kukimbia. Alichukua masaa mawili mpaka kufika alipokuwa akiishi kibandani na mama yake, alipofika, moja kwa moja akaingia ndani huku akipanga kumwambia mama yake kila kitu kilichotokea.

****

Sarafina alibaki ndani ya kibanda kile, alilala juu ya boksi lake kama kawaida. Kansa ilimtafuta vilivyo na muda huo aliona kabisa mwisho wake ukiwa umekaribia. Alikuwa akilia akiomba msaada, hakukuwa na mtu aliyetokea kumsaidia.

Alitamani binti yake awepo mahali hapo amsaidie lakini hilo halikutokea. Alilala juu ya boksi na kuanza kukumbuka maisha yake, alikumbuka jinsi alivyokuwa akiteseka, aliyatoa thamani maisha yake, alijitoa sana maishani mwake na lawama zote alimpa David ambaye alimfanya kuwa mahali hapo.

Maziwa yake yalikuwa yameoza sana, yalitoa harufu mbaya iliyonuka katika kibanda kizima. Mwanzo alipokuwa akiyakamua yalitoka damu lakini muda huo yalibadilika, hayakuwa yakitoka damu, yalitoka usaha tena bila hata kukamua.

Nzi walijaa kibandani, alishindwa kuwafukuza, mwili wake haukuwa na nguvu hata kidogo. Aliteseka, hakuamini kama mwisho wake ungekuwa wa mchungu kiasi hicho. Ilipofika saa moja na nusu usiku, akaanza kuhisi baridi kali miguuni mwake, akaanza kutetemeka katika kibanda kile.

Hizo zilikuwa hatua za mwisho, roho yake ilikuwa ikikaribia kutoka. Alimshukuru Mungu kwa kila kitu, alimshukuru kwa mwisho wake, alimshukuru kwa yote ambayo yalitokea katika maisha yake.

Hakujua Malaika angekuwa nani huko baadaye, alimshukuru Mungu zaidi kwa kumpa ujasiri wa kukataa kutoa mimba aliyokuwa nayo ya mtoto Malaika. Alisikia kabisa mwili wake ukianza kuwa wa baridi lililoanzia miguuni.

Mapigo yake ya moyo yalikuwa yakishuka taratibu. Akayafumba macho yake, akamuomba Mungu, sala pekee aliyokuwa akimuomba ni kumlinda mtoto wake Malaika katika maisha yake yote.

Japokuwa David ndiye aliyemsababishia kuwa katika hali hiyo, akamuomba Mungu amsamehe, asahau kila kitu, hakutaka kufa pasipo kumsamehe mwanaume huyo ambaye alimliza na kumfanya kufika katika maisha hayo.

Wakati akiomba yote hayo, mwili wake uliendelea kushika baridi lililokuwa limefika kiunoni, alikuwa kama mtu aliyepooza, alitulia, aliuona mwisho wake. Alikufa kitu kimoja baada ya kingine na muda huo ulikuwa ni wakati wa roho yake kufa.

“Mungu! Nimemsamehe David, ninahitaji umuangazie katika maisha yake, mpe baraka tele, mbariki ila naomba umpe hata nafasi ya kumkumbuka mtoto wake,” alisema Sarafina huku akilia.

“Ni maisha niliyochagua kuishi! Najua niliwaumiza watu wengi, niliwakera wazazi wangu. Mungu, nimemkumbuka yule kijana Richard! Inawezekana alikuwa na mapenzi ya dhati kwangu! Nilimkataa, naomba umsahaulishe kuhusu mimi, naomba usimkutanishe na binti yangu kwani sitaki ajue chochote ambacho kiliendelea katika maisha yangu,” alisema Sarafina na kuendelea, baridi lilipanda na kufika tumboni, na kila lilipopanda, sehemu hizo zilianza kufa.

“Mungu! Naomba umlinde Malaika. Sikutoa mimba yake kwa kuwa niliamini ungempigania. Nisingeweza kuitoa kwani sikujua atakuja kuwa nani hapo baadaye. Ni mtoto wangu pekee aliyenipigania, Mungu, naomba umlinde, naomba umpiganie na vishawishi vyote. Najua kwamba ninakufa huku nikimuacha, najua ni kwa jinsi gani ataumia. Mtie nguvu, kuwa faraja yake moyoni mwake, naomba umtetetee kama ulivyowatetea watumishi wako. Mungu wangu. Naikabidhi roho yangu mikononi mwako. Amen,” alisema Sarafina, baridi lilipanda mpaka shingoni mwake, akayafumba macho yake, Mungu akachukua roho yake. Akafariki kwenye maumivu na mateso makali ya ugonjwa wa kansa.

 

Je, nini kitaendelea?
Tukutane Jumatatu.

Leave A Reply