The House of Favourite Newspapers

Mpoto Atinga Ofisi za Global Publishers

Mrisho Mpoto akifanya mahojiano na Global TV Online
Mrisho Mpoto akiwa na wahariri wa Global Publishers, Elvan Stambuli (kushoto) naSifael Paul.
…akiwa na Mhariri wa Gazeti la Championi Ijumaa, John Joseph
… Akiwa namwandishi wa mtandao wa Global Publishers Salum Milongo
…akiwa na mwandishi Boniface Ngumije.
Mrisho Mpoto akiwa na baadhi ya wafanyakazi wa Global Publishers

Mkali wa tungo za Kiswahili aliyejizolea umaarufu mkubwa Bongo kutokana na ujumbe unaobebwa kwenye mashairi yake, Mrisho Mpoto ‘Mjomba’, leo ametembelea ofisi za Global Publishers, Bamaga-Mwenge jijini Dar es Salaam.

Mbali na kujionea jinsi kazi zinazofanyika, Mpoto anayetamba mitaani na wimbo wake wa Sizonje, pia amefanya mahojiano maalum na Global TV Online ambapo amezungumzia mambo mbalimbali kuhusu maisha yake ya kimuziki, mafanikio na changamoto anazokutana nazo.

Mahojiano kamili yatakujia muda mfupi baadaye kwa kupitia Global TV Online.

Save

Comments are closed.