The House of Favourite Newspapers

Mrembo Aliyejibiwa Comment Na Rais Samia, Afunguka Ana Kiwanda – Video

0


Global Tv Imefanya mahojiano na Mbunifu wa mavazi Beatrice Mwalingo (28) ambaye amekuwa gumzo baada ya kujibiwa Comment yake na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan

Beatrice amefunguka mengi ikiwemo namna alivyotelekezwa na rafiki yake aliyemleta Dar es salaam kwa mara ya kwanza, Kutapeliwa Milioni 83, Kuolewa na Mswizland, Kupelekwa Japan na Boyfriend na mengine Mengi

Leave A Reply