The House of Favourite Newspapers

Mrembo Anayepiga Pesa Kwa Chupa Za Plastiki-Video

0

MAGRETH Pascal ni Mrembo mwenye umri wa miaka 21 mkazi wa Babati mkoani Manyara, amefunguka juu ya kazi yake anayoifanya katika kiwanda kidogo cha kusaga chupa na plastiki ambazo ni chakavu kwalengo la kuzichakata ili kuzirejesha kiwandani ili zitengenezewe bidhaa zingine.

Leave A Reply