The House of Favourite Newspapers

Msanii wa Bongo Fleva Anayeishi Nchini Uingereza Aachia Goma la Bad Vibes

0

Iicons ni msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka Tanzania anayeishi nchini Uingereza ambaye anazidi kufanya makubwa katika gemu la muziki nchini Uingereza.

Ngoma yake mpya ya Bad Vibes aliyoiachia siku chache zilizopita, tayari imekuwa talk of the town sehemu mbalimbali duniani, ikiwana baadhi ya mashairi ya Kiswahili na kichupa ‘quality’.

Link ipo kwenye bio yake Instagram lakini pia unaweza kuitazama mjini Youtube hapo chini.

Apewe maua yake!

 

 

Leave A Reply