The House of Favourite Newspapers

Msanii wa Vichekesho Umar Iahbedi Issa Maarufu kwa jina la Mjegeje Afariki

0
Msanii wa vichekesho Umar Iahbedi Issa maarufu kwa jina la Mjegeje.

Msanii wa vichekesho Umar Iahbedi Issa maarufu kwa jina la Mjegeje @mzeewamjegejetz amefariki dunia leo Alfajiri katika Hospitali ya Mwananyamala alipokuwa anapatiwa matibabu.

Aidha Meneja wa msanii huyo amethibitisha taarifa hizo za kifo cha msanii wake

Chanzo cha kifo chake kinatajwa alikuwa anaumwa maradhi ambayo hayajawekwa wazi.

MKE wa BAKHRESA wa TABATA ALIYECHOMWA MOTO – ”WALIMCHOMA TUMBONI BISIBISI – WAMEMTOBOA”…

Leave A Reply