The House of Favourite Newspapers

Dorothy Afunguka Zitto Kabwe Kugombea Urais 2025 – Video

0
Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu

Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu amefunguka tetesi za aliyekuwa Kiongozi Mkuu wa chama hicho, Zitto Kabwe kugombea nafasi ya urais mwakani 2025.
Dorothy anasema kuwa, bado ni mapema mno na hawezi kumsemea Zitto badala yake muda ukifika kila kitu kitakuwa wazi.

Aliyekuwa Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe.

Amesema kwa sasa Zitto anabaki kuwa mjumbe wa kamati ya uongozi wa chama hicho baada ya kuachia ngazi ya nafasi ya Kiongozi Mkuu wa ACT Wazalendo.
Dorothy ameyasema hayo hii leo Machi 20, 2024 katika mahojiano maalum kwenye Kipindi cha Front Page cha +255 Global Radio na Global TV.

Leave A Reply