Mshindi BSS Kataja Ugonjwa Anaoumwa, Kuhusu Rayvanny – Video
KWA mara ya kwanza, Mshindi wa Bongo Star Search (BSS) 2019, Meshack Fukuta, amepiga stori na Global TV Online na kuelezea safari yake ya muziki hadi kufikia Desemba 24, alipokabidhiwa tuzo ya Mshindi BSS.