The House of Favourite Newspapers

Exclusive Video: Msimamizi Wa Feisal Atema Cheche – ”Mchezaji Anavunja Mkataba Muda Wowote”

0

Yasmin Razack, mtaalamu wa masuala ya sheria katika michezo na msimamizi wa Feisal Salum, amefunguka na kumjibu mwanasheria wa Yanga na kumtaka ajitathmini.

Yasmin wakati akihojiwa na Saleh Ally Jembe amesema mwanasheria huyo wa Yanga, amekuwa akitoa taarifa zisizo za kweli kwenye sakata la Feisal na Klabu ya Yanga.

Leave A Reply