The House of Favourite Newspapers

Mtalii Auawa Na Tembo Malindi, Kenya

 mtalii-uawa-1Sehemu ya hema kwa nje alikofikia mtalii aliyeuawa.

mtalii-uawa-2Tembo anayesadikiwa kumuua mtalii huyo.mtalii-uawa-3Sehemu ya mbele ya hoteli ya Swara Camp.

mtalii-uawa-4Tembo wakiwa mtoni, jirani na hoteli ya Swara Camp.

mtalii-uawa-5

Tembo anaonekana kwa mbali (kushoto) siku moja kabla ya kutokea mauaji hayo .

MALINDI, KENYA Mwanaume mmoja raia kutoka nchini Italia, Fernando Mocclola (66), ameuwa na tembo nje ya Hoteli ya Swara Camp iliyopo ndani ya ranchi ya Kulalu iliyopo mkoa wa Malindi.

Tukio la kuuawa kwake lilitokea mwishoni mwa wiki iliyopita wakati mtalii huyo aliposogea karibu na mnyama huyo ili aweze kupiga picha kwa ukaribu kabla ya tembo huyo kubadilika ghafla na kumjeruhi sehemu ya mguu wa kushoto na kumuua papohapo.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Malindi, Muchangi Mutava amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema:

“Tukio limetokea na tumempoteza mtalii mmoja raia kutoka nchini Italia.”

Comments are closed.