The House of Favourite Newspapers

Majaliwa Kuzindua Mahakama ya Kisasa Kibaha

jajiJaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman akizungumza na wanahabari (hawapo pichani).

…Akionesha  wanahabari kitabu chenye malengo ya mpango mkakati wa miaka mitano.

jaji-mkuu-2-001Wanahabari wakifuatilia mkutano huo.

WAZIRI Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa jengo jipya na la kisasa la Mahakama ya Wilaya ya Kihaba Mkoani Pwani.

Hayo yalisemwa leo jijini Dar es Salaam  na Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman, alipokuwa akiongea na wanahabari na kusisitiza kwamba uzinduzi huo ni mpango mkakati wa miaka mitano wa mahakama na mradi wa maboresho ya huduma za utoaji haki kwa wananchi ambao unatarajiwa kufanyika siku ya Jumatano ya Septemba 21 mwaka huu.

Kwa hotuba ya Jaji Othman wakati akizungumza na wanahabari tembelea Global TV Online.

Na Denis Mtima/Gpl

Comments are closed.