The House of Favourite Newspapers

Mtoto ‘Anavyofumua’ Fuvu la Mtu na ‘Kuanika’ Ubongo – Video

0

MTOTO mdogo aitwaye Baraka Shigongo (10) mwenye kipaji cha aina yake katika masuala mbalimbali hasa ya Sayansi, leo kwa mara nyingine tena katika mwendelezo wa darasa lake anatufundisha namna ambavyo mfumo wa mifupa (skeletal system) unavyofanya kazi.

 

Baraka anasema mfumo wa mifupa umezungukwa na tissue ili kuufanya mwili uweze kufanya kazi zake vizuri, bila mifupa tusingeweza kuishi.

 

Baraka hajaishia hapo, ‘amelifumua’ fuvu la binadamu na kulichambua kwa kina huku akituonesha namna ambavyo ubongo unafunzwa. Fikiria usingekuwa na fuvu ubongo ungekaa wapi?

 

Yote haya na mengine, Tazama hapa.

Leave A Reply