The House of Favourite Newspapers

Young Dee: Simkubali Stamina Hata Kidogo

0

Rapa Young Dee ameelezea hisia zake kwa rapa mwenzie Stamina, akisema hamkubali Stamina na anadhani ndio chanzo cha kundi la ‘Mtu Chee’ kuvunjika.

 

“Mimi Stamina simkubali, hatuongei na sio mshkaji wangu. Halafu nadhani ndio alikuwa sababu ya sisi Mtu Chee kuvunjika. Simkubali naapa kwa Mungu na kama kuna shabiki yangu anamkubali Stamina basi ni snitch.” alisema Young Dee.

Leave A Reply