The House of Favourite Newspapers

Mtoto Baraka Anaujua Moyo Utashangaa – Video

0

MTOTO mdogo aitwaye Baraka Shigongo (10) mwenye kipaji cha aina yake katika masuala mbalimbali hasa ya Sayansi, hapa yupo darasani kuzichambua na kukuelezea sehemu zote muhimu za moyo wa binadamu na namna zinavyofanya kazi.

 

TAZAMA HAPA KUPITIA YOUTUBE CHANNEL YAKE YA MAKE ME SMART

Leave A Reply