The House of Favourite Newspapers

Mdogo wa Maajabu Mwenye Nguvu za Mungu, Anaponya Maji ya Moto – Video

0

HAYA ni maajabu ya mtoto mdogo Eunice Atieno mwenye umri wa miaka miwili na nusu mkazi wa Kijii cha Bukama, Rorya, ambaye ameonyesha kuwa na nguvu za Mungu, unaambiwa anaponya kwa maji ya moto.

 

Mtoto huyu ambaye wazazi wake wanasema amekaa tumboni miaka mitatu, ameshangaza watu baada ya kuonesha maajabu ya kuponya watu kwa maombi na maji, tofauti kabisa na umri wake.

 

Global TV imefika kijijini hapo kujionea na kuzungumza na wazazi wa mtoto huyo. Fuatilia makala haya ya kusisimua.

 

Leave A Reply