The House of Favourite Newspapers

Muhimbili yaboresha huduma zake

0

1.Dk .Mwenesano akisoma taarifa yake kwa wanahabari(hawapo pichani).
Dk. Mwenesano akisoma taarifa yake kwa wanahabari (hawapo pichani) kuhusu kuongeza muda wa kazi hospitalini hapo kutoka saa tisa alasiri hadi saa 12. Vilevile huduma zitaanza kutolewa siku ya Jumamosi ambapo hapo awali kulikuwa hakuna huduma.
2.Mkuu wa Idara ya Huduma ya Wagonjwa wa Nje Dk. Raymond Mwenesano (kulia) akijibu maswali yaliyokuwa yameulizwa na wanahabari (hawapo pichani).Kulia kwake ni Ofisa Uhusiano wa Hospitali ya TaifaMkuu wa Idara ya Huduma ya Wagonjwa wa Nje Dk. Raymond Mwenesano (kulia) akijibu maswali yaliyokuwa yameulizwa na wanahabari (hawapo pichani). Kulia kwake ni Ofisa Uhusiano wa Hospitali hiyo, Neema Mwangomo.
3Kutoka kushoto ni Ofisa Uhusiano wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Neema Mwangomo, Mkuu wa Idara ya Huduma ya Wagonjwa wa Nje, Raymond Mwenesamo na Ofisa Muuguzi Daraja la II, June Samwe.Muhimbili neti
Na Denis Mtima/GPL

Leave A Reply