The House of Favourite Newspapers

Muonekano Mpya wa Soko Kuu la Kariakoo

0

Picha za litakavyokua Soko jipya la Kariakoo baada ya ujenzi wake kukamilika zimeachiwa ikiwa gharama ya ujenzi wote itakua TZS bilioni 32.2.

 

Katika gharama hizo ukarabati wa soko la zamani ni TZS bilioni 6 na ujenzi wa soko jipya ni TZS bilioni 26.2. Soko litahudumia wafanyabiashara zaidi ya 2300 na litarahisisha ufanyaji biashara na kuboresha mandhari ya jiji.

Leave A Reply