The House of Favourite Newspapers

Muuza Mbege Atinga Mahakama Kutoa Ushahidi Kesi ya Mbowe – Video

0

Leo Jumatatu, Novemba 1, 2021, Shahidi wa nne upande wa Jamhuri kwenye kesi namba 16 ,2021, kesi ya uhujumu uchumi ambayo ndani yake kuna makosa ya ugaidi ametoa ushahidi wake.

 

Akiongozwa na wakili wa Serikalia Ester Martin Shahidi alitaja jina lake kuwa ni Anitha Valeliani Mtaro (45) mkazi wa Rau Madukani Moshi mfanyabiashara wa pombe aina ya mbege.

 

Shahidi aliulizwa siku ya Agosti 5, 2020 alikuwa wapi? Kwenye majibu yake alieleza kuwa alikuwa kwenye eneo lake la kufanyia biashara akifanya usafi.

 

Leave A Reply