The House of Favourite Newspapers

Mwakyembe: Nina Digrii 5 – Video

Waziri mwakyembe amefunguka kuhusu sintofahamu iliyopo kuhusiana na kauli yake kwa wasanii kusoma ambapo amewagusa waandishi wa habari na wasanii ,waziri mwakyembe pia ameongeza kuwa vijana ambao hawajasoma wanatakiwa kujijengea utamaduni wa kusoma na kujiongeza.

Comments are closed.