The House of Favourite Newspapers

MWANAMAMA AIBUKA MSHINDI WA BAJAJ YA SPORTPESA

TIMU ya ushindi SportPesa inaendelea kufurahia mafanikio ya ushindi wa wateja wake hasa baada ya washindi wengi wa bajaji kutoa simulizi zinazoonyesha kuwa maisha yao yanaenda kubadilika baada ya kushinda.

 

Wakati huu ni zamu nyingine ya mshindi wa Shinda Zaidi na SportPesa, Bi. Hidaya Juma kutoka Jijini Dar es Salaam kukabidhiwa bajaj yake mpya baada ya kushinda.

Huyu anakuwa mwanamke wa pili kuondoka na bajaj kwenye promosheni hiyo na yeye hakuwa nyuma kutuelezea siri ya ushindi wake ambapo alisema kuwa mume wake ndio alimuelekeza kucheza SportPesa mpaka kushinda.

 

“Mimi nimeshinda na furahia kwa zawadi hii kutoka SportPesa, unajua hapo mwanzo nilidhani labda mchezo huu ni kwa ajili ya wanaume tu, lakini nilipoona mpaka kina mama wanashinda ndipo nilipomuomba mume wangu anielekeze maana na yeye alikuwa tayari anacheza na SportPesa na mara baada ya kunifundisha na mimi kuanza, haikunichukua muda hadi siku napigiwa simu kuwa nimeshinda bajaj, kweli nashukuru sana,” alisema Bi. Hidaya

Kwa upande mwingine mshindi huyo aliwataka wakina mama wenzake kuichangamkia fursa hii kutoka SportPesa huku akiwaeleza kuwa hii naweza kuwa sehemu muhimu kwao kujikwamua kuichumi na kuongeza kipato kuliko kutegemea kukaa nyumbani na kubaki kuwa tegemezi.

 

Akimkabidhi bajaj hiyo, Mkurugenzi wa Utawala na Udhibiti Kutoka SportPesa, Tarimba Abbas alimpongenza mwanamama huyo kwa juhudi zake za kupambana kuchezana SportPesa mpaka kufanikiwa kushinda bajaj.

“Huu ni mfano mzuri kwa wakina mama wote na Watanzania kwa ujumla kuwa mambo haya yanawezekana, muhimu ni kujisajili na SportPesa na kuanza kucheza kwa sababuhu huwezi kujua bahati yako, unaweza kulala maskini ukaamka na utajiri kutoka SportPesa nawaomba mcheze sana maana bajaj bado zipo,” alisema Tarimba.

Huuni muendelezo wa SportPesa kutoa zawadi mbalimbali kwa washindi wanaocheza na kampuni hiyo pendwa ya ubashiri hapa nchini na kila siku mshindi mmoja hukabidhiwa bajaj unachotakiwa kufanya ni kupiga *150*87# au kucheza kwa tovuti yani www.sportpesa.co.tz

Comments are closed.