The House of Favourite Newspapers

Mwanamuziki Mkongwe, Hussein Jumbe Afariki Dunia Akitibiwa Hospitali ya Amana

0

Msanii mkongwe wa muziki wa dansi nchini, Hussein Jumbe amefariki dunia leo, April 10, 2023.

Kwa mujibu wa mtu wa karibu wa marehemu na mdau mkubwa wa muziki wa dansi, Said Mdoe, Jumbe amefikwa namauti mchana wa leo katika Hospitali ya Amana alikokuwa anapatiwa matibabu.

Enzi za uhai wake, Hussein Jumbe amewahi kutamba na nyimbo zake kama Mapenzi ya Siri, Nyumba ya Urithi na nyingine nyingi.

Leave A Reply