The House of Favourite Newspapers

Mwanzo Mwisho Maziko Ya MC Joel Aliyejirusha Ghorofani Dar – Video

0
Joel Misesemo (MC Joel) enzi za uhai wake.

Joel Misesemo (MC Joel) aliyefariki dunia kwa kujirusha kutoka ghorofani kwenye jengo la Derm Plaza, Makumbusho jijini Dar es Salaam amezikwa  Mei 26, 2023 katika Makaburi ya Kinondoni.

Taarifa za jeshi la polisi, zinaeleza kuwa marehemu alionekana katika jengo hilo Mei 23, 2023 majira ya saa kumi na moja alifajiri ambapo alimwambia mlinzi wa jengo hilo kuwa anaenda kufanya ibada kwenye sehemu ya kuabudia iliyopo ghorofa ya 15 ndani ya jengo hilo lakini muda mfupi baadaye alijirusha.

Leave A Reply