The House of Favourite Newspapers

Mwigizaji Sasha Afunguka Kulipiwa Kodi Na Sponsa, Anaishi katika Jumba La Kifahari

0

Msanii wa Bongo movie merry Elias kushaba Maarufu kama Sasha amefanya kipindi na Global Tv, cha mpaka home na kuonesha mjengo anaoishi huku akidai kuwa analipiwa kodi na Sponsa kwani hakuna mwanamke anayependa kujilipia kodi na ukiona analipa ujue hana sponsa.

Leave A Reply