MBUNGE wa Iramba Magharibi mkoani Singida (CCM), Mwigulu Lameck Nchemba amewasili katika msiba wa Mama wa Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Global Group, Bi. Asteria Kahabi Kapela aliyefariki dunia alfajiri ya jana Ijumaa, Julai 27, 2018 katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete, Muhimbili jijini Dar es Salaam alikokuwa akitibiwa.
Mwigulu amefika kujumuika na ndugu, jamaa, marafiki na wanafamilia wa Shigongo kwa ajili ya kuwapa pole wafiwa na kuwafariji.
Comments are closed.