The House of Favourite Newspapers

MWIGULU HOI KITANDANI: “NIOMBEENI TU, NAUMIA KIUNONI” – VIDEO

Mbunge wa Iramba Magharibi MWIGULU NCHEMBA amenusurika kufa katika ajali iliyotokea eneo la Migori Mkoani Iringa Wakati akiwa Safarini kuelekea mkoani singida kwenye kikao cha kamati ya siasa.

Akisimulia chanzo cha ajali Hiyo amesemea sababu ya ajali hiyo ni punda waliokuwa wanavuka barabara ghafla.

Comments are closed.