The House of Favourite Newspapers

Mwijaku: Siiamini Ndoa Ya Diva

0

 

MTANGAZAJI wa Clouds FM na mwanamitandao almaarufu DC wa Insta, Mwijaku amedai kuwa ana shaka na uwepo wa ndoa kati ya Mtangazaji wa Wasafi FM, Diva na mpenzi wake, Abdulrazak.

 

Mwijaku anasema kuwa, kukosekana kwa ndugu kumemfanya kuwa na shaka na ndoa hiyo. Jamaa huyo ambaye ni msemaji wa kila kitu, anadai kwamba huwenda ikawa kuna mchezo wa kuigiza.

 

Februari 14 (Valentine’s Day), mwaka huu, Diva alidai kufunga ndoa na jamaa huyo kwa mahari ya maua mengi, badala ya shilingi milioni 500 alizotangaza awali

Leave A Reply