HabariKitaifa Mwili wa Maalim Seif Wawasili Zanzibar – Video Last updated Feb 18, 2021 0 Share MWILI wa Makamu wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharrif Hamad ukiwasili Zanzibar kisha kupelekwa katika viwanja vya Mnazi Mmoja mjini Zanzibar kwa ajili ya ibada ya kuuswalia ambapo marehemu atazikwa leo jioni eneo la Mtambwe, Pemba. Related Maalim Seif 0 Share