The House of Favourite Newspapers

MWILI WA PATRICK WAAGWA VIWANJA VYA LEADERS – VIDEO

 

SHUGHULI ya kuaga mwili wa Mtoto wa Muna Love, marehemu Patrick imeanza katika viwanja vya Leaders jijini Dar es Salaam ambapo maelfu ya waombolezaji, ndugu, jamaa na marafiki wamefika kuungana na wazazi wa marehemu katika kuaga mwili wa mpendwa wao.

Baada ya kuagwa, mwili huo utapelekwa katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam kwa ajili ya mazishi.

VIDEO: FUATILIA TUKIO HILO HAPA

Comments are closed.