The House of Favourite Newspapers

Mwingine Aondoka na Smartphone Kali

0

MSHINDI wa ofa ya Usinunue Simu Nunua Magazeti Pendwa, Sharifa Rajabu amesema atazidi kusoma tena magazeti yanayotoa ofa hiyo; Ijumaa Wikienda, Uwazi, Risasi Mchanganyiko, Ijumaa na Risasi Jumamosi ili ajishindie tena!

 

Mshindi huyo ambaye ni mkazi wa Kimara, jijini Dar aliyasema hayo Jumanne iliyopita alipofika kwenye ofisi za Global Group zilizopo Sinza-Mori jijini Dar na kukabidhiwa simu yake hiyo ya kisasa (smart phone) na mtunzi wa hadithi katika magazeti ya Global Publishers, Joseph Shaluwa.

 

“Ninashukuru kwa zawadi hii ambayo mmenipa, naamini ni kweli mnatoa bila upendeleo sababu mimi nilishiriki nikashangaa tu napigiwa simu naambiwa nimeshinda,” alisema Sharifa na kuongeza: – “Nitaendelea kusoma maana bado natamani kushinda zaidi. Nitajibu maswali kadiri niwezavyo ili kujiweka kwenye nafasi nzuri zaidi ya kushinda.”
Jinsi ya kushiriki shindano hili, Soma magazeti Pendwa!https://youtu.be/3jYJUzB0vS8?t=2

Leave A Reply