The House of Favourite Newspapers

Mwisho wa Ubishi: Baba Aanika Cheti cha Kuzaliwa Patrick

SINTOFAHAMU iliyokuwepo kuhusu baba halisi wa mtoto wa mwigizaji wa Bongo Movie, Muna,  aitwaye Patrick aliyeaga dunia juzi nchini Kenya  huku mama yake akidai kuwa baba wa mtoto huyo ni Casto, hatimaye baba mzazi wa Patrick aitwaye Peter Zacharia ameanika cheti cha kuzaliwa cha mwanaye huyo.

 

Kwa Mujibu wa Peter, ambaye ni mkazi wa Mwananyamala, cheti cha kuzaliwa cha Patrick kinaonyesha:

  • Alizaliwa katika Hospitali ya Muhimbili  Desemba 12, 2010.
  • Jina la Mama: Rose Alphonce Nungu, Kazi Yake: Mama wa Nyumbani (House Wife).
  • Jina la Baba: Peter Zacharia Komu, Kazi Yake: Meneja wa Uzalishaji.

Comments are closed.