The House of Favourite Newspapers

Nafasi Ya Kazi Global TV Online – Cameraman Anatafutwa

0

GLOBAL TV ONLINE ni televisheni ya mtandaoni iliyo na makao makuu yake jijini DAR ES SALAAM, TANZANIA ikiwa na watazamaji dunia nzima zaidi ya milioni ishirini kwa wiki na watazamaji waliojisajili zaidiya milioni moja na laki nane. Kama sehemu ya mafanikio yake Global Tv Online inatafuta Cameraman wa kuedit na ku-upload You Tube.

Leave A Reply