The House of Favourite Newspapers

Naibu Katibu Mkuu Chadema, Salum Mwalimu Atiwa Mbaroni

0

salum mwalimu

Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA (Zanzibar), Salum Mwalimu, jana Alhamisi, Agosti 25, 2016 alikamatwa na Jeshi la Polisi huko maeneo ya Mwandoya wilayani Meatu mkoani Shinyanga kwa kosa la uchochezi.

Taarifa zimeeleza kuwa, inadeaiwa Salum Mwalimu alikamatwa na baadhi ya Viongozi wengine wa chama hicho wakati wakiwa kwenye mkutano wa ndani wa chama jambo ambalo jeshi la polisi limeshapiga marufuku. Baada ya kukamatwa walipelekwa polisi na kuhojiwa baadaye wakashikiliwa huko ambapo alilala sero.

Leave A Reply