The House of Favourite Newspapers

Nandy Awakingia Kifua Wanawake

0

MSANII wa muziki Bongo, Faustina Charles ‘Nandy’ amewakingia kifua wanawake kupinga kwa kupinga ukatili dhidi yao.

 

Akizungumza na Uwazi, Nandy alisema kuwa wanawake wengi wanapitia changamoto nyingi za kunyanyaswa ikiwemo kudharauliwa, kunyang’anywa mali na mengine ambayo yanamshusha hadhi mwanamke.

 

“Mimi sijawahi kufanyiwa vitendo vya ukatili, lakini huwa nasikia kuna wanawake wanafanyiwa vitendo vya kikatili pengine na waume zao, au kunyanganywa mali ambazo amechuma na mume wake alafu akafariki anaachwa anahangaika na watoto.

 

“Kiukweli napinga sana kwa sababu mwa-namke ana uwezo wa kufanya chchote akatumiza ndoto yake mfano muziki huwa nasikia furaha endapo msichana yeyote anafanya muziki, pia niwaombe wanawake kama una ndoto ya kuwa mwanamziki usisite… fanya naamini utafanikiwa,” alisema Nandy.

 

Leave A Reply