The House of Favourite Newspapers

Navy Kenzo wafunika New Maisha club, Dodoma

0
 
 Msanii wa Kundi la Bongo Fleva la Navy Kenzo, Aika akiongea na mashabiki wake usiku wa kuamkia leo katika uzinduzi rasmi wa ‘Kamatia Chini Lights UP Tour’ ndani ya New Maisha Club Dodoma.
 Nahreel akifanya yake.
 Mashabiki wakiendelea kupata burudani kutoka kwa kundi la Navy Kenzo.
 Shangwe zikiendelea ndani ya Maisha Club Dodoma.
Aikaakifanya yake.
 Meneja wa Burudani wa Maisha Club zote, Hemed Kavu ‘HK’ (kushoto) akiwa katika pozi.
WAPENZI wanaounda kundi la Navy Kenzo, Nahreal pamoja na Aika  Machi 6, 2016   wamefanya uzinduzi rasmi wa Kamatia Chini Lights UP Tour ndani ya Maisha Club Dodoma.
Leave A Reply