The House of Favourite Newspapers

Maganja Ateuliwa na NEC Kugombea Urais – Video

0

MWENYEKITIwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu Semistocles Kaijage, amemteua Yeremia Maganja wa NCCR-Mageuzi kuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania na Haji Ambar Khamisi kuwa mgombea mwenza katika Uchaguzi Mkuu wa 28 Oktoba 2020.

 

Leave A Reply