The House of Favourite Newspapers

Neema Mchau Aibuka Kidedea Jukwaa la Wanawake Dar

Kikao kikiendelea cha Jukwaa la Wanawake jana Gongola Mboto jijini Dar.

Uchaguzi wa kupata Mwenyekiti wa Jukwaa la Wanawake umefanyika jana Gongola Mboto jijini Dar, na Neema Mchau kubuka kidedea kwenye uchaguzi huo kwa kupata kura nyingi na kufuatiwa na Mariam Pius, baada ya kuwa Makamu.
Kwenye uchaguzi huo pia, Judith fredy Mangera ameibuka Afisa habari wa jukwaa hilo ambapo alipita bila upinzani.

STORI: IMELDA MTEMA, GPL

Comments are closed.