The House of Favourite Newspapers

RABA ZA KIJANJA ZINAZOTRENDI 2018

LEO kwenye fasheni nimea­mua kuwaandikia wa­naume ambapo tutaona raba za kijanja zilizoingia kwenye fasheni 2018, ni raba nzuri ambazo unaweza kuvaa kwa mtoko wa kawaida la­kini hata kwa mtoko wa maana kwani bado utakuwa smati tu.

Aina ya rabani nyingi lakini ili kwenda na wakati angalia inayoendana na nguo zako, si lazima kufanana nguo zote la­kini unaweza ukafa­nanisha hata na shati tu au sketi na ukawa smati.Lakini pia unaweza kufananisha na soksi zako, si lazima nguo zote. Kwa kufanya hivyo bado ukitoka utaonekana ume­tokelezea kijanja.

Na Hamida Hassan

Comments are closed.