The House of Favourite Newspapers

Nelly: Mahaba yamenificha

0

nelly1 Stori: Imelda Mtema

MWANAMITINDO maarufu Bongo, Nelly Kamwelu, amefunguka kuwa alipotea kwa muda mrefu kwa kuwa alibanwa na mpenzi wake.

Nelly-Kamwelu-4Akizungumza na gazeti hili, Nelly alisema mpenzi wake alikuwa hapendi ajichanganye kama zamani au kutoka kwenye vyombo vya habari hivyo aliamua kuwa kimya ili kuweza kulinda penzi lake lisiingie mchanga.

“Unajua watu wengi wananiuliza sana kuhusu mimi kupotea lakini ukweli nipo japokuwa nasafiri mara kwa mara lakini kikubwa zaidi mpenzi alikuwa hataki kabisa mimi kujichangaya kama ilivyokuwa zamani,” alisema Nelly.

 

Leave A Reply