The House of Favourite Newspapers

Ngoma 10 Zilizoingia Shindano la Toboa Kimuziki na Global TV

0

GLOBAL TV ONLINE imezindua rasmi Shindano la TOBOA KIMUZIKI NA GLOBAL TV ONLINE ambapo lengo lake ni kuwapa fursa wasanii chipukizi ya kuonesha vipaji vyao kwa kupitia chaneli hii. Aidha, shindano hili lina lengo la kuwakutanisha wasanii wenye vipaji na wadau wa muziki wanaoweza kuwasaidia zaidi kufikia malengo yao.

 

MSHINDI atatangazwa na kufanyiwa promosheni kazi zake zote kwenye platforms zote za GLOBAL GROUP, ambazo ni MAGAZETI, GLOBAL TV, GLOBAL RADIO, INSTAGRAM na FACEBOOK.

 

TAZAMA VIDEO ZA WASHIRIKI WOTE HAPA KISHA PIGA KURA KWA KU-COMMENT, KU-LIKE NA KU-SHARE ==> TOP 10

 

Leave A Reply