The House of Favourite Newspapers

Nini Kimemsibu Wema Sepetu? Cheki Kitendo Alichokifanya Hapa!

wema-2

SINTOFAHAMU imetokea miongoni mwa mashabiki wa Malkia wa Filamu za Bongo, Wema Sepetu ‘Madam’ baada ya staa huyo kuamua kufuta picha zote kwenye ukurasa wake wa Mtandao  wa Instagram

Ni kwa sababu gani mrembo huyo ameamua kufuta picha zote kwenye akaunti yake ya mtandao wa Instagram yenye ‘followers’ milioni 2.5?

Ni jambo gani limemsibu mpaka akaamua kufanya hivyo?

Mmoja wa mashabiki wake kwenye mtandao huo ameeleza kuwa, huenda msanii huyo ameamua kutoingia mwaka 2017 kwa kumbukumbu za mwaka 2016 ambazo.

Licha ya shabiki huyo, majibu kamili anayo muhusika mwenyewe Wema Sepetu.

wema-sepetu

Comments are closed.