The House of Favourite Newspapers

Nkunku Kuzikosa Fainali za Kombe la Dunia

0


Kiungo wa timu ya Taifa ya Ufaransa, Christopher Nkunku (25) atayakosa Mashindano ya Kombe la Dunia 2022 kutokana na jeraha alilolipata leo wakati wa mazoezi ambalo litamsababisha akae nje kwa muda.

Nkunku aligongana na mchezaji wa Real Madrid, Eduardo Camavinga wakati wakifanya mazoezi yao ya mwisho kabla ya kuelekea Qatar.

Nafasi Nkuku sasa itachukuliwa na Randal Muani ambaye atajiunga na kambi ya timu hiyo mara moja.

Leave A Reply