The House of Favourite Newspapers

Nyumba ya Shehe Yavunjwa, Uchawi Watajwa – Video

0

MZEE mmoja anayejulikana kwa jina la Sheikh Muhammed, mkazi wa Vingunguti jijini Dar es Salaam amelalamika kuvunjiwa nyumba yake bila hata yeye mwenyewe kuwa na taarifa, hali iliyomfanya kubaki bila makazi wala sehemu ya kuishi.

 

Mzee huyo amedai kuwa baada ya nyumba yake kubomolewa amedai kuwa kuku wake wameibiwa pamoja na pesa zilizokuwa ndani ya nyumba hiyo.

 

Mashuhuda na wakazi wa eneo hilo wamedai kuwa mmiliki wa nyumba ameagiza ibomolewe ili ajenge madrasa lakini Muhammed  amedai kuwa nyumba hiyo alinunuliwa na Waarabu.

Sakata lake shuhudia hapa!

Leave A Reply